Kaunti ya Kakamega yajiandaa kwa El Niño
Description (show more)
Gavana wa kaunti ya Kakamega Fernandes Barasa amewahakikishia wakazi wa kaunti hiyo kuwa serikali yake imeweka mikakati kabambe ya kukabiliana na athari hasi za mvua ya el nino. akizungumza katika makao makuu ya kaunti mjini kakamega, gavana barasa amewashauri wachimbaji madini Ikolomani, Shinyalu, Lugari, Khwisero na Lurambi kusitisha shughuli hizo kwa muda hadi mvua iishe.
Related Videos
More from Citizen TV Kenya
2:06Peter Mijungu: Ng'ur ok ber kendo ok rach
2:02
2:28Wakazi wapokea miundombinu ya umeme Bomwagamo
5:36
1:50Serikali waimarisha usalama wa watahiniwa wa KCSE 2026
· 4 views
6:06Peter Mijungu: 'Empowerment' ma loko ngima en mar ochumi
· 1 views
2:46Kioni warns opposition against internal feuds ahead of 2027 elections
· 28 views
1:43Waiguru signals interest in Deputy President's seat
· 11 views
