Kenyans Live

Rais Ruto akutana na wakenya marekani katika ziara zake

Description (show more)

Rais William Ruto amekutana na Wakenya wanaoishi Marekani, katika ziara yake nchini humo kabla ya kuhudhuria Mkutano wa 81 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa. Amesema Wakenya wanaoishi nje ya nchi si chanzo cha fedha pekee, bali wanaweza kuwa rasilimali muhimu kwa taifa kwa kuleta nchini ujuzi, maarifa, uzoefu na mitandao waliyopata nje ya nchi.

Share: