Kenyans Live

Wanafunzi wa UoN waandamana kutaka mgomo wa wahadhiri ukomeshwe

Description (show more)

Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Nairobi wameandamana jijini Nairobi wakitaka serikali kufanya mazungumzo na Chama cha Wahadhiri wa Vyuo Vikuu (UASU) ili kumaliza mgomo wa wahadhiri ambao sasa umeingia siku ya 26.

Share: