Kenyans Live

Wanafunzi wa chuo cha walimu Mwingi waandamana kudai matokeo ya mitihani baada ya kuhitimu

Description (show more)

Baadhi ya wanafunzi wa chuo cha walimu cha Mwingi kaunti ya Kitui waliandamana hadi katika ofisi za wizara ya elimu mjini humo wakilalamikia kutopewa matokeo ya mitihani yao licha ya kukamilisha masomo.

Share: