Kenyans Live

Kindiki azindua miradi ya maendeleo Tharaka Nithi

Description (show more)

Naibu Rais Kithure Kindiki amezindua miradi ya maendeleo katika Kaunti ya Tharaka Nithi. Kindiki pia amewataka wanasiasa kuheshimu wito wa wazee wa kuhimiza umoja.

Share: