Kenyans Live

Gideon Moi amshutumu Ruto kwa kutotimiza makubaliano

Description (show more)

Mwenyekiti wa chama cha KANU, Gideon Moi, anadai kuwa Rais William Ruto alimhadhaa na kushindwa kutimiza makubaliano waliyofikia mwaka mmoja uliopita. Moi amesema kuwa licha ya kujiondoa kwenye kinyang’anyiro cha useneta wa Baringo, Rais Ruto hakutimiza ahadi aliyompa.

Share: