Polisi watumia vitoza machozi kutawanya vijana kanisani Buruburu
Description (show more)
Polisi walilazimika kutumia vitoza machozi kutawanya kundi la vijana waliofika katika kanisa la Redeemed Gospel Church, Buruburu, wakitaka kanisa hilo kumchukulia hatua mshiriki mwenzao anayesemekana kuwa mmoja wa wasichana walionaswa kwenye video wakimdhulumu mwenzao. Hata hivyo, kanisa hilo limesisitiza kuwa msichana huyo si binti wa mhubiri wa kanisa hilo, likisema taarifa zinazodai kinyume chake ni potofu. Willy Lusige ana taarifa zaidi.
Related Videos
More from Citizen TV Kenya
3:21:00LIVE: Good Morning Kenya II 3rd November 2026 II www.kbc.co.ke
· 3.2K views
11:54:59Citizen TV Live:
· 963.5K views
1:16:18🔴LIVE || TV47 Saa Tano
· 812 views
22:31LIVE: Kurunzi Mashinani naye Sheila Yogo II 3rd November 2026 II www.kbc.co.ke
· 504 views
1:01:45LIVE: Lunchtime News with Ben Troy Njue II 3rd November 2026 II www.kbc.co.ke
· 1.1K views
30:11🔴LIVE || TV47 News @1pm with Wakio Mzenge
· 1.1K views
20:42LIVE: Tamrini naye Sheila Yogo II 3rd November 2026 II www.kbc.co.ke
· 454 views
1:01:11LIVE: Prime Edition with Muchuma Odim II 3rd November 2026 II www.kbc.co.ke
· 1.9K views
