Kenyans Live

Hospitali ya rufaa Meru yaadhimisha miaka 100 ya huduma za afya

Description (show more)

Hospitali ya Rufaa ya Meru imeadhimisha Miaka 100 ya huduma za afya kwa Wakaazi wa Meru na Viunga Vyake. Na Kama anavyoripoti Gregory Murithi, Hospitali hiyo tayari imeanza mikakati ya kuboreshwa zaidi ili kupandishwa ngazi ya daraja la sita.

Share: