Kenyans Live

Jamii ya Shikhaal yaidhinisha Abdullahi Dahir kuwania ubunge wa Mandera Mashariki

Description (show more)

Wito wa kudumisha amani, umoja na mshikamano umetolewa kwa jamii mbalimbali kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2027, huku jamii ya Shikhaal ikimuidhinisha Abdullahi Dahir kuwa mgombea wa kiti cha ubunge wa Mandera Mashariki kwenye demokrasia ya maelewano.

Share: