Kenyans Live

Wakazi wa Ngomeni walalamikia mashambulizi ya wahalifu

Description (show more)

Baadhi ya viongozi wa Kitui, wakiongozwa na Mbunge wa Kitui kusini Rachel Kaki, wamelaani mapigano yanayoendelea kati ya wafugaji na wakulima kwenye mpaka wa Kitui-Tana River.

Share: