Kenyans Live

Vihiga: waendesha bodaboda na madereva wa matatu walalamikia ongezeko la bei ya mafuta

Description (show more)

Malalamishi ya kupanda kwa bei ya mafuta yameibuka miongoni mwa waendesha bodaboda na madereva wa matatu katika Kaunti ya Vihiga, ambao sasa wanaitaka serikali kuchukua hatua kupunguza gharama ya maisha. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya

Share:

Related Videos

More from NTV Kenya