Kenyans Live

Naibu rais Kithure Kindiki aagiza ukaguzi wa viwanda vya pombe nchini

Description (show more)

Naibu Rais Kithure Kindiki ameielekeza Wizara ya Usalama wa ndani na vyombo vya usimamizi wa sheria, kukagua upya viwanda vyote vya kutengeneza pombe, ili kubaini hali ya utiifu wa kanuni mpya zilizowekwa katika vita dhidi ya pombe haramu.

Share: