Kenya Kwanza yaendeleza kampeni za Ruto kuchaguliwa tena
Description (show more)
Viongozi wa Kenya Kwanza wameendeleza kampeni za kumpigia debe Rais William Ruto kuchaguliwa tena ili akamilishe miradi ya maendeleo. Wakizungumza katika maeneo tofauti ya kaunti za Nakuru, Nairobi na Samburu, viongozi hao wamesema Wakenya wanapaswa kujihadhari na viongozi wanaoendeleza siasa za migawanyiko. Aidha, wametumia fursa ya hafla za leo kukashifu mienendo ya kiongozi wa chama cha PPK, Ndindi Nyoro.
Related Videos
More from Citizen TV Kenya
3:39CPA Evans Ogutu: Kaka duond bura mar ODM, wan gi ji ma nyaka waor e sirkal.
55:50Youth & Politics:
· 1 views
3:57Mtihani wa kitaifa wa KCSE wang'oa nanga West Pokot
· 3 views
1:46:27Ũteti na Ũtongoria wa Bũrũri #Kĩmũrĩ
· 3 views
2:40Kenya Yatuma Vikosi 13 Dakar, Baseball5 Yafuzu Nusu Fainali
· 4 views
34:49| UKUMBI | Siasa za kiti cha urais [Part 1]
· 42 views
1:44Zaidi ya watahiniwa 7000 Turkana wafanya mtihani wa KCSE
20:03| UKUMBI | Siasa za kiti cha urais [Part 3]
· 26 views
