Kenyans Live

Serikali imeweka mikakati kabambe kukabiliana na athari za elnino

Description (show more)

Mbunge wa Mwala aliye pia mwenyekiti wa kamati ya mazingira katika bunge la kitaifa Vincent Musyoka Kawaya  amesema serikali imejiandaa kukabiliana na adharu za mvua ya El Niño inayotarajiwa kunyesha kuanzia mwezi ujao hadi mwezi Disemba, mwaka huu. Akizungumza wakati wa hafla ya uwezeshaji wanawake  mjini Masii, Kawaya alisema serikali imekuwa ikijiandaa kwa miezi kadhaa huku taasisi za kitaifa na zile za kaunti zikishirikiana katika kukabiliana na athari za mvua ya masika. Wakati uo huo, kaunti ya Kiambu imewahakikishia wakazi wa kaunti hiyo kuwekezwa kwa raslimali za kutosha zinazonuiwa kukabili athari za mvua ya El Nino jinsi ilivyotabiriwa na idara ya utabiri wa hali ya hewa humu nchini. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive

Share: