Kenyans Live

Naivas yazindua kampeni ya zawadi kwa wateja wa kadi za uaminifu

Description (show more)

Kampeni hii inayoendelea katika matawi yote nchini, inawapa wamiliki wa kadi za uaminifu za Naivas fursa ya kushinda magari, gari la kubeba mizigo, vifaa vya kielektroniki, vocha za ununuzi, pamoja na mbuzi na kuku. Wateja wanashauriwa kutembelea duka lolote la Naivas au kuangalia kurasa zao rasmi za kidijitali ili kupata masharti, vigezo vya kushiriki, na maelezo kuhusu droo za washindi.

Share: