Seneti yaondoa kibali cha kukamatwa kwa gavana wa Isiolo Abdi Guyo
28 viewsYouTube
Description (show more)
Kamati ya bunge la seneti kuhusu uhasibu wa umma imeondoa agizo lililotolewa la kukamatwa kwa gavana wa Isiolo Abdi Guyo baada yake kujiwasilisha binafsi kwa hiari. Kamati hiyo, hata hivyo haikumhoji gavana Guyo, ikisema kufika kwake katika kamati hiyo hakukuwa kwenye ratiba ya shughuli za bunge leo, na ikaamua kumualika tena gavana huyo baada ya kuzingatia majibu aliyowasilisha kwa afisi ya mhasibu mkuu. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive
Related Videos
More from KBC Channel 1
1:49:23🔴LIVE || TV47 Saa Tano
· 1.3K views
23:22LIVE: Tamrini naye Sheila Yogo II 2nd November 2026 II www.kbc.co.ke
· 431 views
1:33Langata residents to benefit from free medical camp organised by KMPDU SG Davji Atellah
· 24 views
26:16LIVE: Kurunzi Mashinani naye Sheila Yogo II 2nd November 2026 II www.kbc.co.ke
· 438 views
1:48:28LIVE: Sports Check with Daniel Wahome II 2nd November 2026 II www.kbc.co.ke
· 936 views
1:39:06Future of the opposition: Will they agree on a single candidate?
· 310 views
2:21
3:40Waititu ahukumiwa kwa makosa matatu utakatishaji fedha
· 42 views
