Junior Starlets kuelekea Uhispania kwa maandalizi ya Kombe la Dunia
Description (show more)
Kikosi cha timu ya taifa ya wasichana chini ya umri wa miaka 17, Junior Starlets, kitaondoka nchini Jumatatu kuelekea Uhispania kwa kambi ya mazoezi ya wiki mbili. Kambi hiyo inalenga kukiweka kikosi tayari kikamilifu kuelekea fainali za Kombe la Dunia la FIFA la U-17, zitakazoanza tarehe 17 mwezi huu. Wakiwa Uhispania, Junior Starlets, chini ya kocha Mildred Cheche, watacheza mechi kadhaa za kirafiki dhidi ya timu ya taifa ya wasichana ya Australia, pamoja na Real Betis na Cádiz CF. Baada ya kambi hiyo, Junior Starlets wataelekea Morocco, ambako mashindano hayo yatafanyika.
Related Videos
More from Citizen TV Kenya
3:21:00LIVE: Good Morning Kenya II 3rd November 2026 II www.kbc.co.ke
· 3.2K views
11:54:59Citizen TV Live:
· 963.5K views
1:16:18🔴LIVE || TV47 Saa Tano
· 812 views
22:31LIVE: Kurunzi Mashinani naye Sheila Yogo II 3rd November 2026 II www.kbc.co.ke
· 504 views
1:01:45LIVE: Lunchtime News with Ben Troy Njue II 3rd November 2026 II www.kbc.co.ke
· 1.1K views
30:11🔴LIVE || TV47 News @1pm with Wakio Mzenge
· 1.1K views
20:42LIVE: Tamrini naye Sheila Yogo II 3rd November 2026 II www.kbc.co.ke
· 454 views
1:01:11LIVE: Prime Edition with Muchuma Odim II 3rd November 2026 II www.kbc.co.ke
· 1.9K views
