Kenyans Live

Miili tisa kati ya 17 ya waathiriwa wa ajali kaunti ya Makueni yawasili Mombasa

Description (show more)

Miili tisa kati ya 17 ya watu walioaga dunia katika ajali ya barabarani huko salama kaunti ya makueni imewasilishwa mombasa kwa matayarisho ya mazishi.

Share: