Kenyans Live

Wakenya wahimizwa kukumbatia utamaduni katika mtaala wa CBE

Description (show more)

Wakenya wamehimizwa kuzingatia maadili na utamaduni katika mfumo wa elimu unaotegemea umahiri. Pia kuna wito wa kuunganisha utalii na elimu tendaji katika utekelezaji wa CBE.

Share: