Wasiwasi waibuka kuhusu utangazaji wa moja kwa moja wa matokeo ya uchaguzi
Description (show more)
Hatua ya wabunge wa Bunge la Kitaifa kushindwa kurekebisha sheria inayotoa mwongozo wa kutangaza matokeo ya uchaguzi mkuu moja kwa moja imeibua wasiwasi kuhusu uwezekano wa matokeo hayo kutotangazwa moja kwa moja katika uchaguzi mkuu ujao. Katika maamuzi yao, Mahakama Kuu na Mahakama ya Rufaa ziliwataka wabunge kurekebisha sheria hiyo. Hata hivyo, wabunge hao walisema sheria hiyo haiwezi kufanyiwa marekebisho chini ya mwaka mmoja kabla ya uchaguzi. Emmanuel Too anatueleza zaidi.
Related Videos
More from Citizen TV Kenya
2:01:07Kalonzo: See You At The Ballot; ODM Irreducible Minimums To UDA || TV47 Breakfast || 02.11.2026
· 1 views
46:35From Kickbacks to inflated costs: How Bomas is being bartered for billions in secret contract
· 1 views
2:51Odera Odhiambo: Linda Mwananchi: National or Western Kenya party?
· 2 views
52:14LIVE | SIWANDHA MAR TUKE 2/11/2026
· 1 views
52:51| DAY BREAK | 2027: Terms and conditions
· 59 views
5:00Daniel Orogo: ODM is the one courting Sakaja for the Nairobi Governor ahead of 2027
· 12 views
1:32:30Kũmuramura Magathĩti (02/11/2026) #iNooroRũciinĩ
· 501 views
4:25Njeri Kahiga: No amount of party change is going to help Sakaja, he is going home!
· 24 views
