Kenyans Live

Waziri wa afya Aden Duale akagua kituo cha karantini ya Ebola katika hospitali ya Nairobi

Description (show more)

waziri wa afya aden duale amekagua kitengo cha karantini ya wagonjwa wa ebola katika nairobi hospital na kusema kuwa taifa lina vituo vikuu vitano kama hicho.

Share: