Kenyans Live

Wadau wa elimu Kabondo Kasipul waweka mikakati ya usalama wa wanafunzi wakati wa mvua

Description (show more)

Washika dau wa elimu katika eneo bunge la kabondo kasipul kaunti ya Homa bay, wanaendelea kuweka mikakati ya kuhakikisha wanafunzi wako salama mvua ya el nino inapowadia. wanafunzi wanatahadharishwa kutozuru sehemu hatari wakati wa mafuriko.

Share: