Kenyans Live

Mpango wa Sifuna wa kuchukua usukani wa chama cha United Development Party wakabiliana na pingamizi

Description (show more)

Mpango wa Seneta wa Nairobi Edwin Sifuna wa kuchukua usukani wa chama cha United Development Party UDP umepatana na kiunzi. Hii ni baada ya baadhi ya wasimamizi wa chama hicho kuelekea kwa afisi ya msajili wa vyama ORPP na kuwasilisha barua ya kupinga mabadiliko yoyote kwenye uongozi wa UDP, miongoni mwa mabadiliko mengine. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya

Share:

Related Videos

More from NTV Kenya