Miito ya kudumisha uwazi na uwajibikaji uongozini yatolewa
Description (show more)
Miito ya uwazi, uwajibikaji na uadilifu zaidi katika uongozi wa umma ilishamiri huku shirika la Transparency International Kenya likiwaongoza wakenya kwenye matembezi ya kilomita nane jijini Nairobi ili kutoa uhamasisho kuhusu uadilifu. Hafla hiyo ya kila mwaka kuhusu uadilifu iliwaleta pamoja wananchi, taasisi za umma, mashirika ya kijamii na wadau wengine kwenye kampeni inayonuiwa kuimarisha uongozi weney uadilifu humu nchini. Na jinsi mwanahabari wetu John Kahiro anavyoaturifu hafla hiyo pia imetoa fursa ya kuwakumbusha wakenya kuhusu jukumu wanalotekeleza katika kushinikiza uwajibikaji na kufanya maamuzi yenye busara kuhusu uongozi huku uchaguzi mkuu wa mwaka ujao ukikaribia. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive
Related Videos
More from KBC Channel 1
6:21“Tuheshimiane! I don’t want to be distracted by busybodies,” Gachagua blasts his opposition partners
3:47Gachagua: Nyeri's leaders have embarrassed us; I'll liberate the country starting from home
1:42Family demand justice after body of missing 29 year old is found in Narok
2:52MBAARA CIA ETHIOPIA KŨHUTIA KENYA
19:20Ũkunderu Wa Ciringi Kũhatĩka "WANJIKU" #UgeWaku part3
2:16Gachagua: I am not arrogant; I am truthful
3:17Uge wa aikari a kirinyaga thogora wa mũturĩre kwabatĩra bũrũri-inĩ
1:27