Kenyans Live

Wakazi wavumilia baridi kali kusubiri sherehe za Mashujaa Eldoret

Description (show more)

Wakazi wa kaskazini mwa Bonde la Ufa walilazimika kuvumilia baridi kali usiku kucha ili kufika mapema katika uwanja wa Kipchoge Keino jijini Eldoret, kaunti ya Uasin Gishu, kuhudhuria sherehe za Siku ya Mashujaa. Kwa mujibu wa wakazi hao, hatua hiyo ilikuwa ya kipekee na ya kihistoria, kwani iliwapa fursa ya kushuhudia sherehe hizo. Bonface Barasa alikuwepo na sasa anatupa taswira kamili.

Share: