Kenyans Live

Waziri wa utalii nchini Rebecca Miano asema wizara yake itatumia michezo kukuza utalii Kenya.

Description (show more)

Waziri wa utalii nchini Rebecca Miano, amesema wizara yake itaendelea kushirikiana na wizara ya michezo ili kutumia michezo kukuza utalii humu nchini. Waziri Miano aidha ameyasema wanalenga kutumia Akili Unde katika kuboresha utalii.Ameyasema hayo katika maadhimisho ya siku ya utalii duniani iliyoandaliwa katika chuo kikuu cha Eldoret kaunti ya Uasin Gishu.

Share: