Kenyans Live

Walemavu wa kusikia wataka serikali iajiri watafsiri wa lugha ya ishara

Description (show more)

Walemavu wa kusikia na kuongea katika kaunti ya Tana River wanaomba serikali kuu na ya kaunti kuajiri wakalimani wa kuwatafsiria mahitaji yao kwenye ofisi za umma.

Share: