Mtu wa pili anusuriwa kutoka kwenye jengo la lililoporomoka Eastleigh
Description (show more)
Mtu mmoja amenusuriwa kutoka kwenye jengo la orofa18 lililoporomoka katika siku ya pili ya juhudi za kuwatafuta waathiriwa mtaani Eastleigh, na kufikisha wawili idadi ya wale walioondolewa kwenye vifusi hivyo. Kundi la mashirika mbalimbali la utafutaji na uokoaji lilimsnusuru mwanamme huyo kwenye vifusi Jumamosi alasiri kabla ya kupelekwa hospitalini. Na jinsi mwanahabari wetu Abdiaziz Hashim anavyotuarifu kundi la dharura limethibitisha kwamba shughuli hiyo imefikia hatua muhimu kwa wale waliokwama kwenye vifusi. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive
Related Videos
More from KBC Channel 1
23:56🔴LIVE || TV47 News @ 1 P.M With Martin Githinji
34:38LIVE:Lunchtime News with Giverson Maina II 1st November 2026 II www.kbc.co.ke
1:24:28LIVE: Sunday Service from All Saints Cathedral II 1st November 2026 II www.kbc.co.ke
1:44:23Jubilee presidential hopeful Fred Matiang'i outlines his road to State House
49:45SUNDAY LIVE | IN THE HOUSE OF DCP | PART 2
4:12LIVE: Sunday Express II 1st November 2026 II www.kbc.co.ke
4:44Rivers in Athi basin bear brunt of pollution asindustrial waste is discharged into rivers
2:17