Kenyans Live

Serikali yaweka mikakati kukabiliana na mlipuko wa Ebola

Description (show more)

Katibu wa idara ya Afya ya Umma, Mary Muthoni, amewahakikishia Wakenya kwamba hakuna mlipuko wa Ebola nchini, akisisitiza kuwa kisa kilichoripotiwa kilitoka nje ya nchi.

Share: