Dunia Wiki Hii I 5th September 2026 I Wito wa Kukomeshwa kwa vita Baina ya Marekani na Iran Watolewa
46 viewsYouTube
Description (show more)
Katika makala ya juma hili, Katibu mkuu wa umoja wa mataifa atoa wito wa kukomeshwa kwa vita kufuatia kurejelewa kwa uhasama baina ya Marekani na Iran akizitaka pande hizo zirejelee mashauriano. China yawasilisha misaada nchini Nepal kufuatia maporomoko ya tope huku zaidi ya watu wakiaga dunia. Rais Trump asema marekani iliafikia mkataba wa mafuta na Venezuela. Rais Xi Jinping wa China ahudhuria sherehe ya kumkaribisha iliyoandaliwa na mwenzake wa misri, Abdel Fatah al-Sisi Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #KBCchannel1 #Kenya #News
Related Videos
More from KBC Channel 1
49:45SUNDAY LIVE | IN THE HOUSE OF DCP | PART 2
· 643 views
4:12LIVE: Sunday Express II 1st November 2026 II www.kbc.co.ke
· 159 views
4:44Rivers in Athi basin bear brunt of pollution asindustrial waste is discharged into rivers
· 48 views
2:17Kenyan truck drivers decry harassment at border points over Ebola concerns
· 80 views
54:05THE 8TH DAY || THE PROMISE OF JUDICIAL INDEPENDENCE: Is the Judiciary Free from Influence?
· 35 views
35:03🔴 TV47 LIVE || Sifa Sunday Experience
· 551 views
43:30🔴 TV47 LIVE || Sifa Sunday Experience || My Testimony
· 856 views
27:12Gavana Dhadho Godhana atangaza azma ya kuwania urais mwaka 2027
· 345 views
