Kenyans Live

Wito watolewa kuimarisha mfumo wa kusuluhisha kesi nje ya mahakama nchini

Description (show more)

Huku taifa likiadhimisha muongo mmoja wa mfumo mbadala wa kusuluhisha kesi nje ya mahakama, wito umetolewa wa jopo husika kuhamasishwa ili kuendelea kutekeleza majukumu hayo kikamilifu kwa mujibu wa sheria.

Share: