Gavana wa Kajiado Joseph Ole Lenku atetea utendakazi wake wa miaka kumi ya uongozi
Description (show more)
Gavana wa Kajiado Joseph Ole Lenku ametetea utendakazi wake wa miaka kumi ya uongozi, akisema sekta muhimu kama afya, elimu, ardhi, maji na miundombinu zimeimarika chini ya uongozi wake. Akizungumza katika hafla ya kuangazia utendakazi wake iliyoandaliwa mjini Kajiado, Lenku amesema atatumia muda uliosalia kabla ya kumaliza muhula wake wa pili kukamilisha ahadi alizowapa wakazi wa Kajiado.
Related Videos
More from Citizen TV Kenya
2:06Peter Mijungu: Ng'ur ok ber kendo ok rach
2:02
2:28Wakazi wapokea miundombinu ya umeme Bomwagamo
5:36
1:50Serikali waimarisha usalama wa watahiniwa wa KCSE 2026
· 4 views
6:06Peter Mijungu: 'Empowerment' ma loko ngima en mar ochumi
· 1 views
2:46Kioni warns opposition against internal feuds ahead of 2027 elections
· 28 views
1:43Waiguru signals interest in Deputy President's seat
· 11 views
