Kenyans Live

Machakos Yatoa Chanjo Bila Malipo Kukabili Kichaa cha Mbwa

Description (show more)

Kutokana na kuongezeka kwa ugonjwa wa kichaa cha mbwa huko Masinga, Serikali ya Kaunti ya Machakos inatoa chanjo ya ugonjwa huo bila malipo kwa wamiliki wa mbwa.

Share: