Kenyans Live

Serikali yawahakikishia wakenya kuwa imeweka mikakati ya kukabiliana na athari za el nino

Description (show more)

Serikali imewahakikishia wakenya kuwa imeweka mikakati ya kukabiliana na athari za el nino. akizungumza kwenye kikao na wanahabari kuhusu maandalizi ya siku ya mazingira hapa jijini nairobi, waziri wa mazingira deboranh barasa amewataka wakenya kushirikiana kufungua mifumo ya majitaka ili kuepuka athari za mafuriko.

Share: