Kenyans Live

Viongozi wa serikali waonya dhidi ya siasa za chuki

Description (show more)

Viongozi wa serikali jumuishi wameendelea kuwasuta wenzao wa muungano wa upinzani wakiwataka wakenya kujihadhari na siasa wanazozitaja kama za chuki. Wakizungumza katika hafla tofauti za kupiga jeki makundi mbali mbali huko Narok Kaskazini na Transmara Magharibi, viongozi hao walielezea uhakika wao kuwa Rais William Ruto atapata ushindi kwenye uchaguzi ujao huku wakiendelea kumsuta kinara wa DCP rigathi Gachagua wakisema anawagawanya wananchi.

Share: