Kenyans Live

Vijana katika kaunti ya Nakuru wanufaika na vifaa na mtaji wa shilingi milioni 383

Description (show more)

Katika Kaunti ya Nakuru, makundi ya vijana elfu tatu, kutoka wadi arobaini na nne za Kaunti hiyo, wamenufaika na vifaa vya kazi kama mtaji wa biashara wa kima cha shilingi milioni Mia tatu themanini na tatu, makundi hayo ya vijana yakijumlisha vijana elfu tano.

Share: