Kenyans Live

Wakazi 1,500 katika wadi ya Masongaleni, Kaunti ya Makueni wapata matibabu

Description (show more)

wakazi zaidi ya 1,500 katika Wadi ya Masongaleni, Kaunti ya Makueni, wamefaidika na kambi ya matibabu, huku kukiwa na wasiwasi kuhusu ongezeko la magonjwa yasiyoambukizwa.

Share: