Kaunti ya Kwale yazindua kampeni ya udhibiti wa vifo vya mama na watoto
Description (show more)
Idadi ya wanawake wajawazito wanaohudhuria kliniki mara nane inavyohitajika ingali chini ya asilimia 15 katika kaunti ya kwale. wataalamu wa afya wakisema Ni asilimia 71 pekee wanaojifungulia hospitalini, hali inayoongeza hatari ya vifo vya mama na mtoto. Sasa serikali ya kaunti kwa ushirikiano na mashirika ya afya imeanzisha kampeni kuhamasisha wanawake kuhudhuria kliniki na kujifungulia hospitalini.
Related Videos
More from Citizen TV Kenya
51:26Peter Kagwanja: Opposition Must Unite or Face Ruto’s Political Challenge
· 19 views
34:42The big divide: When a child's future is dictated by birthplace and family wealth
· 7 views
42:03| DAY BREAK | 2027: Women in the race
· 32 views
29:18LIVE | GASET KAWUONO | 4/11/2026
· 20 views
56:29Gachagua Ajenga Akibomoa? | Magazetini #FixingTheNationNTV
· 465 views

K24TV LIVE: Politalks
· 141 views
11:54:59Citizen TV Live:
· 967.4K views
2:29Kenya women’s rugby team clinches historic Youth Olympic gold
· 1K views
