Kenyans Live

Mwanariadha Beatrice Murugi aendelea kuhangaika na maradhi ya tumbo

Description (show more)

Beatrice Murugi, aliyeipeperusha bendera ya kenya nchini tokyo Japan na ambaye sasa anahangaika kujikimu kimaisha. Hii ni baada ya taaluma yake kukatizwa alipopata jeraha la mshipa na sasa anauguza ugonjwa uliosababisha tumbo lake kuvimba.

Share: