Murkomen athibitisha kuondolewa kwa walinzi wa Natembeya, gavana asema hataogopa kuikosoa serikali
Description (show more)
Waziri wa Usalama Kipchumba Murkomen amekiri kuondolewa kwa usalama wa Gavana wa Trans Nzoia George Natembeya kwa kile anachosema ni kushiriki mipango ya ghasia kwenye mikutano ya kisiasa. Murkomen ameonekana kumjibu Gavana Natembeya baada ya gavana huyo kusema kuwa amenyang’anywa walinzi wake kwa mara ya pili siku za hivi punde. Natembeya amesema ataendelea kuikosoa serikali ya Rais William Ruto bila uoga.
Related Videos
More from Citizen TV Kenya
6:21“Tuheshimiane! I don’t want to be distracted by busybodies,” Gachagua blasts his opposition partners
· 449 views
3:47Gachagua: Nyeri's leaders have embarrassed us; I'll liberate the country starting from home
· 33 views
1:42Family demand justice after body of missing 29 year old is found in Narok
· 17 views
2:52MBAARA CIA ETHIOPIA KŨHUTIA KENYA
· 53 views
19:20Ũkunderu Wa Ciringi Kũhatĩka "WANJIKU" #UgeWaku part3
· 12 views
2:16Gachagua: I am not arrogant; I am truthful
· 347 views
3:17Uge wa aikari a kirinyaga thogora wa mũturĩre kwabatĩra bũrũri-inĩ
· 32 views
1:27Mũtumia wa mĩaka 22 kuuma Isiolo gũkua thutha wake kũherwo mwana barabara-inĩ
· 27 views
