Kenyans Live

NCIC yaendeleza vikao vya umma Kilifi kujadili mustakabali wa taifa kuelekea uchaguzi mkuu wa 2027

Description (show more)

Tume ya kitaifa ya uwiano na utangamano nchini NCIC imeendeleza vikao vyake kilifi vya kujadiliana na umma kuhusu mustakabali wa taifa tunapoelekea kwenye uchaguzi mkuu mwaka ujao.

Share: