Kenyans Live

Mwanaharakati Muteti Muling'e amepatikana Mlolongo baada ya kuripotiwa kutoweka

Description (show more)

Mwanaharakati Muteti Mulinge, anaendelea kupokea matibabu hospitalini baada ya kuokotwa eneo la Lukenya huko Athi river alikotupwa na waliomteka nyara baada ya Siku nne ....

Share: