Kenyans Live

Serikali ya kaunti ya Kitui yaweka mikakati kukabiliana na athari za El Niño

Description (show more)

serikali ya kaunti ya kitui inasema iko tayari kwa el nino. waziri wa kilimo kaunti ya Kitui mbaya kimwele amesema serikali ya kaunti hiyo imeweka mikakati thabiti ya kukabiliana na athari hasi za mvua ya el nino.

Share: