Kenyans Live

Gavana wa Wavinya Ndeti atetea rekodi ya utendakazi ya Kalonzo

Description (show more)

Gavana wa machakos wavinya ndeti ameendelea kutetea utendakazi wa kinara wa wiper kalonzo musyoka hasa kwenye kesi ya kurejesha hisa za serikali za kampuni ya safaricom zilizouliwa vidacom. akizungumza huko Mitamboni kwa ziara ya kukagua miradi, wavinya amesema kalonzo amekuwa nguzo muhimu kwa amani ya taifa na uhusiano wa kenya na mataifa ya nje kwa miaka mingi na hivyo mchango wake haupaswi kupuuzwa.

Share: