Kenyans Live

Viongozi wa Chama cha Wahadhiri wa Vyuo Vikuu UASU watangaza rasmi mgomo wa wahadhiri nchini

Description (show more)

Viongozi wa Chama cha Wahadhiri wa Vyuo Vikuu (UASU) wametangaza rasmi kuanza kwa mgomo, wakiiomba serikali kutekeleza Mkataba wa Makubaliano (CBA). Viongozi wa chama hicho wamezungumza jijini Nairobi kuhusu hatua hiyo. Tusikilize.

Share: