Familia zina siku 21 kudai miili ya waathiriwa wa Shakahola
Description (show more)
Serikali ya Kaunti ya Kilifi imetoa ilani ya siku 21 kwa jamaa na marafiki wa zaidi ya miili 400 ya waathiriwa wa Shakahola, ikiwataka kuichukua kabla ya muda huo kukamilika. Akizungumza wakati wa ziara ya Kamati ya Afya ya Seneti katika chumba cha kuhifadhia miili hiyo, idara ya afya ya kaunti imesema hatua hiyo inalenga kuhakikisha miili iliyosalia inachukuliwa na familia zao. Maseneta wameitaka serikali kuhamasisha zaidi Wakenya kabla ya miili hiyo kuzikwa. Mwanahabari wetu Emmanuel Too yuko Kilifi na aliandaa taarifa ifuatayo.
Related Videos
More from Citizen TV Kenya
1:11:33
1:47NGERO NA MBAARA CIA ŨKINYANĨRIA WA KIRIU
· 1 views
1:28
2:04Raga | Rising Lionesses waandikisha historia baada ya kushinda medali ya dhahabu
· 1 views
3:41Ruto: Those who can provide internships for young people, we will net off 100% from your taxes
· 1 views
1:28Kenya na Uholanzi zimezindua mipango ya maendeleo
· 1 views
1:44Akenya kũrio mathingate mawatho ma barabara nĩgetha kũnyihanyihia mĩtino
· 3 views
2:04