Wanahabari wahimizwa kuzingatia uwajibikaji taifa likielekea kwenye uchaguzi 2027
7 viewsYouTube
Description (show more)
Wanahabari wamehimizwa kusalia huru na kujitolea kuwa na msimamo ya kweli huku kukiwa na shinikizo za kisiasa na wasiwasi kuhusu usalama wao, huku nchi hii ikikaribia uchaguzi mkuu wa mwaka wa 2027. Rais wa chama cha wahariri nchini Zubeida Kananu, akizungumza wakati wa uzinduzi wa kongamano la mwaka wa 2026 la wahariri jijini Nairobi, amewataka wanahabari kutumia nafasi yao ya kuendesha ajenda ili kutetea uchaguzi wa amani. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive
Related Videos
More from KBC Channel 1
15:36LIVE | KAA GI KACHA 3/11/2026
· 10 views
14:18🔴LIVE || TV47 News @4p.m with Wakio Mzenge
· 100 views
25:50INTERNATIONAL ROUND UP EP 49 TX 011126
· 16 views

🔴LIVE || TV47 News @4p.m with Wakio Mzenge
14:50Wathi Mwerũ ũteti-inĩ #INooroRũciinĩ part3
· 30 views
2:14Family dispute erupts after widow finds husband already buried
· 44 views
14:28WENDO: YOUNG KIGNO
· 23 views
26:13LIVE | MBAK NDALO- YUTO MARI
· 30 views
