Wito wa uadilifu, uwajibikaji na kuheshimu sheria watolewa
Description (show more)
Wito umetolewa kwa taasisi za umma na watumishi wa umma kuzingatia uadilifu, uwajibikaji na kuheshimu utawala wa sheria. Wito huo ulitolewa wakati wa maadhimisho ya Siku ya Maadili Duniani yaliyoandaliwa jijini Nairobi. Waliozungumza, wakiongozwa na kaimu naibu katibu wa Tume ya Utumishi wa Umma, Dkt. Gabriel Juma, pamoja na Abednego Etiang' kutoka Idara ya Uratibu wa shughuli za Serikali ya Kitaifa, walisema mageuzi endelevu katika taasisi mbalimbali yanaweza kuafikiwa tu ikiwa watumishi wa umma watatekeleza majukumu yao bila upendeleo na kwa heshima, huku wakizingatia maadili yasiyokiuka katiba. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive
Related Videos
More from KBC Channel 1
2:56
LIVE: Sakaja Joins ODM
2:21Catherine Omanyo Amtaka Kalonzo Kuondoka Upinzani na Kujiunga na Serikali
2:11Seneta Miraj Abdillahi Apinga Pendekezo la UDA na ODM Kugawana Madaraka 50:50
2:35Sakaja ditches UDA, joins ODM in a bid to retain his seat
2:20KCSE 2026: Usalama Waongezwa Turkana na Pokot Magharibi, Watahiniwa 7,000 Washiriki
1:55KCSE 2026: Watahiniwa 14,394 Waanza Mitihani Katika Kaunti ya Kajiado
20:03