Kenyans Live

Maonyesho ya Sanaa ya Kenya-China 2026 Yaandaliwa Kibra

Description (show more)

Maonyesho ya Sanaa ya Kenya-China 2026 yamefanyika katika mtaa wa Kibra jijini Nairobi. Serikali imehimiza kuimarishwa kwa utamaduni na ubunifu, huku Cheptumo akisema mikakati imewekwa kuwawezesha vijana.

Share: