Kenyans Live

Waokoaji wazidi juhudi za kuwaokoa watu wawili walionaswa kwenye vifusi vya jengo Eastleigh

Description (show more)

Waokoaji wanaendelea na zoezi la kujaribu kuwafikia watu wawili ambao jana waligunduliwa kuwa hai ndani ya vifusi vya jengo lililoporomoka mtaani eastleigh.

Share: